Sunday, 11 March 2018

Chadema yapata pigo tena


Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la vijana Chadema(BAVICHA) Tanzania bara Ndg. Getrude Ndibalema ametangaza kujiuzulu nafasi yake na kubaki mwanachama wa kawaida wa Chadema.

Ndg. Gertrude katika taarifa yake kwa umma mapema leo asubuhi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake nafasi hiyo ni kutaka kujikita katika shughuli zake za kitaaluma kwa uhuru zaidi.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: