BREAKING NEWS :DIWANI WA CHADEMA ISAPULANO MAKETE AJIUNGA NA CCM.

Aliyekuwa Diwani wa kata ya Isapulano wilayani Makete mkoani Njombe Alphonce Mbilinyi (Chadema) hii leo amejiuzulu nafasi zake ndani ya chama hicho na kuhamia CCM. 

Katika mkutano wa Katibu Mkuu wa UWT taifa Amina Makilagi ndiye aliyemkabidhi kadi na kumpokea CCM pamoja na wanachama wapya 200
Amesema sababu ya kuhama chama ni kuona chama cha mapinduzi mambo yanakwenda vizuri kwa kusimamia yale aliyokuwa akiyataka kuliko alikokuwepo awali. 

Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: