BREAKING NEWS: Abdul Nondo aachiwa kwa dhamana


Leo March 26, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia kwa dhamana Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Abdul Nondo ambaye alikuwa anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Iringa.

Nondo amepewa masharti ya dhamana  ni wadhamini wawili mmoja mtumishi wa Serikali wote wakazi wa Iringa na bondi ya kauli Tshs Milioni 5, atarudi Mahakamani April 10, 2018
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: