Breaking : Diwani wa Chadema Arusha Ajiuzulu na kujiunga na CCM


Diwani wa kata ya Osunyai Halmashauri ya jiji la Arusha, Ndg.Elirehema Amosi Nnko wa (Chadema) amejiuzulu uanachama na udiwani leo hii na kutangaza kujiunga na ccm kwa kile alichoeleza kuwa amefanya hivyo ili kuunga mkono juhudi za Mh.Rais Magufuli.
Diwani huyo amepokelewa na Katibu mwenezi wa Wilaya ya Arusha Mjini Ndg.Abrahamu Mollel pamoja Katibu Hamasa wa Vijana Mkoa wa Arusha Ndg. Omary Lumato

Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: