Vanessa Mdee atoa mchongo kwa wasichana - MSUMBA NEWS BLOG

Tuesday, 27 February 2018

Vanessa Mdee atoa mchongo kwa wasichanaMsanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee ametoa mchongo kwa wasichana.
Muimbaji huyo wa ngoma Kisela kwa sasa ametangaza kutafuta madansa wa kike ambao anatarajia kuwatumia katika video yake mpya, wote ambao wana uwezo huo wanatakiwa kumtumia Vanessa clip zao za video kupitia mtandao wa twitter kwa ku-shatag #VeePickMe.
Utakumbuka February 15 mwaka huu Lady Jaydee alitangaza kutafuta madansa 10 hadi 12 wa kike na wa kiume wanaoweza kucheza vizuri style za kiafrika pamoja na za nje, hivyo Vanessa naye pia amekuja kuongeza fursa kwa vijana wenye uwezo wa kucheza.
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done