TANZIA: kiongozi wa upinzani Zimbabwe afariki dunia

Image result for morgan tsvangirai

Morgan, Tsvangirai  amefariki akiwa nchini afika kusini ambapo alikua akipatiwa matibabu ya saratani, ugonjwa ambao ulikua ukimsumbua kwa kipindi kirefu. 
Tsvangirai amefariki akiwa na miaka 65 na atakumbukwa kwa ushupavu wake katika Siasa hasa kipindi cha upinzani zidi ya Rais mstaafu wa zimbabwe  Robert Mugabe.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: