Monday, 26 February 2018

Simba waichapa mbao Fc 5 - 0

Wekundu wa msimbazi Simba SC hii leo wameweza kuifunga timu ya Mbao FC kwa jumla ya mabao 5 – 0  bila huruma mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara uliyopigwa uwanja wa Taifa.
Mashujaa waliyo ifundisha Mbao FC somo la soka hii loe ni Shiza Ramadhani Kichuya huku Mshambuliaji wake rai wa Uganda, Emmanuel Okwi akitakata uwanjani baada ya kutupia mawili yanayomfanya kutimiza idadi ya magoli 16 katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: