Rais Magufuli : Tuendelee kuliombea taifa letu - MSUMBA NEWS BLOG

Sunday, 25 February 2018

Rais Magufuli : Tuendelee kuliombea taifa letu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kuendelea kuliombea taifa letu.
8
Rais Dkt. John Magufuli
Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumapili Februari 25, 2018 mjini Chato, Geita alipohudhuria kwenye Ibada katika Parokia teule ya Mlimani huku akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi kwa kukipa hadhi kigango cha Mlimani kuwa Parokia.
Soma taarifa zaidi;
8ebb2347-d830-429d-b2b5-c2e59d3967de.jpeg
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done