Msanii wa muziki Bongo,Ambwene Yesaya maarufu kama AY amefunga ndoa leo na mpenzi wake wa muda mrefu Remy.
Shughuli za kufunga ndoa hiyo zimefanyika leo katika hotel ya Golden Tulip iliyopo jijini Dar Es Salaam na kuhudhuliwa na mastaa mablimbali kama vile:-Lady Jaydee, Mwana FA, Salama Jabir, Profesa Jay (Joseph Haule), Fid Q na wengineo wengi.


Uongozi wa www.Msumbanews.co.tz unakutakia kheri katika maisha yako mapya ya kimahusiano.
Picha na Mtandao
Share To:

msumbanews

Post A Comment: