Picha : Kinachoendelea Rombo kwenye Mazishi ya Akwilina

Akwilina alifariki dunia Februari 16, 2018 baada ya kupigwa risasi kichwani akiwa kwenye daladala wakati polisi wakiwatawanya waandamanaji ambao ni wafuasi wa Chadema.

Mwili wa marehemu akwilina akwilini ukiwasili katika kanisa la mtakatifu Theresia Mtoto wa Yesu _olele Jimbo kuu la Moshi
Baadhi ya waombolezaji waliofika katika Ibada ya kumuaga Akwilina.
Mbunge wa Rombo Mh: Joseph Selasini akitoa heshima za mwisho.Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: