Tuesday, 20 February 2018

Picha: Huu ndio muonekano mpya wa nywele wa Alikiba na Ommy Dimpoz


Baada ya Ben Pol kuanza mwaka 2018 kwa kuja na style mpya ya nywele ya kuzipaka rangi (breach) – Alikiba na Ommy Dimpoz na wao wameamua kuja na style kama hiyo.
Wasanii hao ambao ameonekana kwenye picha tofauti tofauti wakiwa na bosi wao Seven Mosha, wameonekana katika muonekana mpya wa nywele zao ambao Kiba amezipaka nywele zake rangi nyekundu wakati Dimpoz akipaka rangi ya njano.
Hata hivyo Disemba 30 ya mwaka 2016, Dimpoz alikuja na style kama hiyo ya nywele ya kuweka breach.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: