Wednesday, 28 February 2018

Picha : Baada ya Nyumba za Polisi Arusha kuungua moto haya ndio Makazi yao mapya

September  27 2017  Nyumba 13 za Askari Polisi ziliteketea kwa moto na kuwaacha watu Zaidi ya 44 wakiwa hawana mahala pa kuishi katika eneo la makazi ya Polisi kati mjini Arusha.
Leo February 28 Msumbanews ilifanikiwa kupata muonekano wa nyumba mpya ambazo Rais Magufuli alitoa Mil.260 kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba mpya za Polisi .No comments:

Post a comment