Sunday, 4 February 2018

Picha 12 : Mbunge Lema Alivyomtembelea Sugu Mahabusu

Mbunge Lema ameongozana na Mbunge wa Tandahimba kwa tiketi ya CUF, katani Katani ambapo wabunge hao waliweza kwenda mpaka nyumbani kwa mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini kuongea naye na kumpa faraja pia. 
Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi 'Sugu' pamoja na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wanakabiliwa na kosa la matumizi ya lugha ya fedhea dhidi ya Rais Dkt. Magufuli kesi yao itasikilizwa tena Februari 8 mwaka huu.

No comments:

Post a comment