Umoja wa Vijana Uvccm Arusha Watoa salamu za pole kwa Rpc Mkumbo - MSUMBA NEWS BLOG

Monday, 26 February 2018

Umoja wa Vijana Uvccm Arusha Watoa salamu za pole kwa Rpc Mkumbo

Vijana wa mkoa wa Arusha wamepokea kwa Masikitiko makubwa taarifa ya Ajali ya Afande DCP, CHARLES MKUMBO ambae ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha iliyotokea Jana Tarehe 27 Feb 2018 Mkoani Manyara . Kwa niaba ya Vijana wa mkoa wa Arusha tunatoa pole kwa Kamanda wetu pamoja na wanusurika wengine na pia tunawaombea kwa Mwenyenzi Mungu awaponye haraka na kurudi kuendelea na kazi ya kulijenga Taifa Letu.


Mungu libariki Jeshi la Polisi,
Mungu ibariki Tanzania.
SAITOTI ZELOTHE,
M/KITI UVCCM MKOA WA ARUSHA

Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done