MVUA KUBWA YAHARIBU SHULE YA MSINGI KANYENYE MKOANI TABORA - MSUMBA NEWS BLOG

Tuesday, 27 February 2018

MVUA KUBWA YAHARIBU SHULE YA MSINGI KANYENYE MKOANI TABORA

Mvua kubwa ikiambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa jana mkoani Tabora imesababisha madhara makubwa kwa baadhi ya miundombinu pamoja na nyumba ikiwemo Shule ya Msingi Kanyenye ambayo paa lake lote limeezuliwa likisalia darasa moja pekee. 
 Shule ya Msingi Kanyenye mkoani Tabora  ikiwa imeezuliwa paa kufuatia mvua kubwa na upepo mkali
 Walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kanyenye wakiwa katika taharuki baada ya kukuta paa la shule limeezuliwa na mvua na upepo mkali
 Hali ilivyo katika Shule ya Msingi Kanyenye
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done