Sunday, 25 February 2018

Mh. Zitto kufanya ziara Manyara kutembelea Kata zinazoongozwa na ACT Wazalendo


Chama cha ACT- Wazalendo kupitia Kiongozi wake, Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine wa chama hicho wanaendelea na  ziara ya mikoa 8 kutembelea Kata mbalimbali ambazo wananchi walichagua Madiwani kutoka chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 201

Kwa siku mbili (26&27 Feb) Kiongozi wa Chama Ndg. zittokabwe atakuwa Mkoani Manyara (Mbulu na Hanang) kutembelea Kata zinazoongozwa na ACTwazalendo. Leo ni zamu ya Kata ya Nambisi, Mbulu Mjini


Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: