Mbunge Arusha Akabidhi Kompyuta 28

Mh:Catherine  Magige akimkabidhi kompyuta Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ndg Lootha Sanare.

Mbunge wa Viti Maalum Mh: Catherine Magige amekabidhi kompyuta 28 kwa Chama cha Mapinduzi ( Ccm ) na Jumuiya zake kwa ngazi za Wilaya.

 Akizungumza  baada ya kukabidhi kompyuta hizo amesema

“Nimeamua kutoa msaada wa kompyuta 28 kwa chama na jumuiya zake zote kwa wilaya saba za mkoa wa Arusha ikiwa ni jitihada za kumuunga mkono mwenyekiti wetu wa chama Taifa Mhe. John Pombe Magufuli katika kukifanya chama kuwa cha kisasa hasa katika upande wa kutunza kumbukumbu na uandaaji wa ripoti mbalimbali” Catherine Magige

Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: