Wednesday, 14 February 2018

Liverpool yaichapa porto 5 - 0


Timu ya Liverpool ya Uingereza imeishushia kipigo cha mbwa mwizi timu ya Porto baada ya kuinyuka bao 5-0 mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku Sergio Monwy akitupia hat trick.


Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: