Wednesday, 21 February 2018

kikosi cha Yanga SC dhidi ya St Louis

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara, klabu ya Dar es Salaam Young Africans imekitaja kikosi kitakachoingia uwanjani hii leo huko Shelisheli kuivaa timu ya St Louis kaika michuano ya klabu bingwa barani Afrika CAF.
Hiki ndicho kikosi kitakachoshuka dimbani kuikabili timu ya St Louis hii leo
Mabingwa hao wa Tanzania Bara watashuka dimbani huku wakiwa na kumbukumbu ya kuchomoka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya St Louis katika mchezo wa awali uliyopigwa jijini Dar es Salaam hivyo Yanga waatalazimika kutoka sare au ushindi ili kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: