Thursday, 22 February 2018

Kada mkongwe wa ccm Ampongeza Rais Magufuli


Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Transparency International iliyozinduliwa  Februari21,2017 ilithibitisha Tanzania kupiga hatua kubwa katika vita dhidi ya Ufisadi kwa kuzipita nchi 13 ndani ya miaka miwili ya utawala wa Rais Magufuli.

Tanzania imekuwa nchi ya ( 103 ) mwaka 2017 kutoka nchi ya  117 mwaka 2015
katika ukanda wa Afrika Mashariki imebaki ya pili nyuma ya Rwanda

 Numbers Don't lie, Mungu akitujalia Ukimaliza miaka 10 ya Uongozi wako, Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi Bora kabisa Duniani

 Jerry C. Muro
 #NiwakatiWetu
 #Tukutane Kazini

USISAHAU KU LIKE PAGE YETUBYA FACEBOOK HAPO CHINI.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: