Jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha wapanda miti

Mbunge wa Viti Maalum Catherine Magige akipanda mti katika zoezi lililoongozwa na  Jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha  katika shule ya Sekondari Sue.
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Ndg. John Palanjo akisikiliza maelekezo namna ya kupanda mti wa kisasa kutoka kwa katibu wa wazazi mkoa Salum Mgaya pamoja na katibu wa wazazi wilaya Christopher Palanjo ( hayupo pichani )
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Wilaya ya Arumeru Arusha Ndg. Simon Kaaya Akipanda mti katika zoezi hilo liliongozwa na Katibu siasa na uenezi Taifa Jumuiya ya wazazi Bwana Daniel Mgaya.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Wilaya ya Arusha Mjini Ndg.Ally Mwinyimvua Akipanda mti katika Shule ya sekondari Sue
Mjumbe wa Baraza kuu la Wazazu Taifa Ndg.Victor Mollel Akipanda mti 
Diwani wa Kata ya Kimandolu Mh:Gaudence Lymo Akipanda mti 
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: