Saturday, 24 February 2018

Jacqueline Wolper alizwa kwa mara nyingine tena

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper ametoa kilio chake kwa makampuni ya simu za mikononi nchini.

Wolper ametoa kilio hicho kwa kitendo kinachofanywa na baadhi ya watu kusajili laini kwa kutumia jina lake( na majina mengine ambayo sio yao) na kufanya utapeli kwa watu.
Mrembo huyo amebaisha hayo kupitia matandao wa kijamii wa Instagram ambao kunaonyesha mtu anayetumia jina lake alipokea muamala wa pesa kitu ambacho yeye hajakipokea.

Mnao mwaka jana mtu aliyekuwa akijiita Jackline Wolper alijikuta akipokea kichapo kutoka kwa msanii huyo baada ya kutaka kutapele mtu wa karibu na msanii huyo

No comments:

Post a comment