Thursday, 22 February 2018

DIWANI MWINGINE AJIUZULU NA KUHAMIA CCM


Diwani wa Kata ya Mpona Wilaya na Mkoa wa Songwe Ndg Marko Aloyce Siwingwa amejivua uanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Diwani huyo ameeleza kuwa ukiukwaji wa Demokrasia ndani ya Chadema ndio sababu pekee iliyomfanya kuachana na Chama hicho huku akiunga mkono juhudi za Mwenyekiti wa CCM Taifa Na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: