Monday, 19 February 2018

CCM YAPASUA NGOME YA CHADEMA, CUF NA ACT KONDOA

Mwenyekiti wa ACT Mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa Kamati Kuu  Eva Habel,  Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Kondoa  Bi Fatma Salum Mlaku na Diwani wa CUF Kata ya Kolo ambayo ni Kambi ya upinzani Wilaya ya Kondoa Bwana Salim Khalifa Maguo, vijana wa bodaboda 71
na wanachama 293 waupinzani wameachana na vyama vyao na  kujiunga na CCM.


Viongozi na wanachama hao waupinzani wamepokelewa na Ndg. Humphrey Polepole Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwa katika Majukumu ya ujenzi wa Chama na Ukaguzi wa Ilani Wilaya ya Kondoa.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: