Breaking News : TRENI YA ABIRIA YAANGUKA UVINZA - KIGOMA IKITOKA DAR ES SAALAM - MSUMBA NEWS BLOG

Wednesday, 28 February 2018

Breaking News : TRENI YA ABIRIA YAANGUKA UVINZA - KIGOMA IKITOKA DAR ES SAALAM

Habari tulizozipata hivi punde kutoka mkoani Kigoma zinaarifu kuwa Treni ya abiria iliyokuwa inatoka jijini Dar es saalam kwenda mkoa wa Kigoma imeanguka katika eneo la Malagarasi wilaya ya Uvinza jioni hii siku ya Jumatano Februari 28,2018.


Mwandishi wetu  anasema kichwa cha treni hiyo kimetoka nje ya njia yake na behewa mbili zimeanguka na kwamba taarifa za awali ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha.
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done