Saturday, 24 February 2018

Breaking News : MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MTWARA HASSAN SIMBA AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara Hassan Simba amefariki  dunia katika hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Jumamosi Februari 24,2018.

Hassan Simba alikuwa anapata matibabu baada ya kuugua muda mrefu.

Mungu ailaze Mahali Pema Peponi roho ya Marehemu Hassan Simba. Amina! 

Taarifa zaidi tutakuletea hivi punde

No comments:

Post a comment