Wednesday, 21 February 2018

Baada ya Mkasi na Ngaz Kwa Ngaz, Salama Jabir kuja show mpyaMtangazaji mahiri wa runinga Salama Jabir kuja na TV show mpya.

Show mpya ya Salama inakwenda kwa jina la Shabiki ambayo itaanza kuruka March 3 mwaka huu kupitia EATV.
Kipindi hicho ni kwa ajili ya michezo, Salama amesema ameona mapenzi yake kwenye mpira yasiishie kwenye timeline za social media ila kwenye TV yanaweza kuleta maana zaidi.
Kipindi cha Shabiki kinakuja kuongeza idadi ya vipindi vikali alivyowahi kuvitangaza kama Planet Bongo, Mkasi na Ngaz kwa Ngaz.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: